Sunday, 26 May 2019

MAPISHI YA TAMBI

       Tambi ni chakula pekee sana kinachopendwa na watu tofauti tofauti asa asa wakati wa mfungo wa ramadhani wengi wanapenda kupika.                                         


.                                       Izo kama zinavyoonekana Ni tambi zenye mchanganyiko wa viungo mbali mbali kwa ajili ya ladha kua nzuri.                                                
 .       
Izi Ni tambi za kukaanga ambazo hazijawekwa viuongo vingi ila vilivyomo umo ndani ni mafuta na chumvi kwa ajili ya ladha nzuri pia.                     
                                  
.         


Video hii inaonyesha kuusu upikaji na uandaaji mzuri na rahisi wa tambi bila ya kuchukua mlolongo mrefu wakati wa uandaaji.

Sunday, 19 May 2019

NAPENDA MAPISHI YA AINA TOFAUTI TOFAUTI

            VYAKULA VYA AINA TOFAUTI


Kila binadamu anahitaji kupata mahitaji muhimu ,moja wapo ni chakula .
Ila kila mmja anahitaji kuandaa chakula ambacho kitampendeza.



Kuna aina mbali mbali zifuatazo ni aina za vyakula zinazopendwa zaidi asa asa apa kwetu Tanzania;




Kama inavyooneka izo ni viazi vya kukaanga na nyama ya kuku ya kukaanga vimeaandaliwa kwa ajili ya kula tayari.



Aina nyingne ni keki ya limao ,hii inatengenezwa kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kwa mfano kwa ajili ya sherehe ya harusi,sikukuu yakuzaliwa na vinginevyo.


Aina nyingine ya chakula ni tambi za kukaanga ambazo zinapendwa na wengi.Hizi Ni tambi za kukaanga zilizochanganywa na karoti,hoho kwa ajili ya kiupa ladha nzuri.

Pia kuna vyakula vya ngano ,ivyo vinavyoonekana apo jinajulikana kwa jila la vikokoto ambavyo vinatengenezwa kwa ngano na pia ngano inachanganywa na sukari,chumvi,tui la nazi, na vinaweza kukaa bila kuharibika siku zaidi ya tatu.



Napenda kupika vyakula vya aina tofauti tofauti ili kuongeza ujuzi wa kupika na kujua kupika vyakula vya aina nyingne ambayo sijui .





Video hii ni kwa wale ambao wanahitaji kujua zaidi kuhusu kupika ,pia video hii inahusu mapishi ya wali na mboga mboga.


Hii pia ni kwa wale wanaopendelea kujua zaidi kuusu utengenezaji wa vitumbua kwa kutumia unga wa mchele.