Sunday, 19 May 2019

NAPENDA MAPISHI YA AINA TOFAUTI TOFAUTI

            VYAKULA VYA AINA TOFAUTI


Kila binadamu anahitaji kupata mahitaji muhimu ,moja wapo ni chakula .
Ila kila mmja anahitaji kuandaa chakula ambacho kitampendeza.



Kuna aina mbali mbali zifuatazo ni aina za vyakula zinazopendwa zaidi asa asa apa kwetu Tanzania;




Kama inavyooneka izo ni viazi vya kukaanga na nyama ya kuku ya kukaanga vimeaandaliwa kwa ajili ya kula tayari.



Aina nyingne ni keki ya limao ,hii inatengenezwa kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kwa mfano kwa ajili ya sherehe ya harusi,sikukuu yakuzaliwa na vinginevyo.


Aina nyingine ya chakula ni tambi za kukaanga ambazo zinapendwa na wengi.Hizi Ni tambi za kukaanga zilizochanganywa na karoti,hoho kwa ajili ya kiupa ladha nzuri.

Pia kuna vyakula vya ngano ,ivyo vinavyoonekana apo jinajulikana kwa jila la vikokoto ambavyo vinatengenezwa kwa ngano na pia ngano inachanganywa na sukari,chumvi,tui la nazi, na vinaweza kukaa bila kuharibika siku zaidi ya tatu.



Napenda kupika vyakula vya aina tofauti tofauti ili kuongeza ujuzi wa kupika na kujua kupika vyakula vya aina nyingne ambayo sijui .





Video hii ni kwa wale ambao wanahitaji kujua zaidi kuhusu kupika ,pia video hii inahusu mapishi ya wali na mboga mboga.


Hii pia ni kwa wale wanaopendelea kujua zaidi kuusu utengenezaji wa vitumbua kwa kutumia unga wa mchele.


No comments:

Post a Comment